Ni zamu ya Wananchi wa visiwani Zanzibar kupata burudani kutoka kwa timu yao pendwa Yanga kwenye Kombe la Mapinduzi
Kesho Jumanne tarehe 5/1/2021 Yanga itashuka kwenye uwanja wa Amaan kuanzia Saa 2 usiku kuikabili Jamhuri Sc
Ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kwenye michuano hiyo ambayo mwaka jana walitolewa hatua ya nusu fainali
ADVERTISE HERE