Katika kusheherekea mwaka mpya 2021, jana Yanga Princess walitembelea wagonjwa katika Hospital ya Ocean Road na pia mchana kukitembelea Kituo cha watoto Yatima cha Maunga Centre kilichopo Kinondoni Mkwajuni
Wananchi hao kinadada pia walitoa misaada mbalimbali






ADVERTISE HERE