Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom Yanga wamerejea jijini Dar es salaam kujiandaa na michuano ya kombe la Mapinduzi inayoanza Jumanne visiwani Zanzibar
Mchezo wa kwanza wa Yanga utapigwa Jumanne, Januari 05 dhidi ya Jamhuri, ratiba ikionyesha kuwa mchezo huo utapigwa saa mbili na robo usiku
Yanga imepangwa kundi A pamoja na timu za Namungo Fc na Jamhuri
Mchezo wa pili utapigwa Januari 08 dhidi ya Namungo Fc
ADVERTISE HERE