Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Yanga leo wamefanya mazoezi yao ya mwisho Sumbawanga uwanja wa Nelson Mandela kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons
Mchezo huo wa kufunga mwaka 2020, utapigwa kuanzia saa kumi kamili Alasiri







ADVERTISE HERE