Mshambuliaji Ferebory Dore raia wa Congo Brazavvile yuko nchini kumalizana na uongozi wa Yanga tayari kuwatumikia Wananchi
Dore ametua nchini kukamilisha mazungumzo yake na wadhamini GSM tayari kuwatumikia vinara hao wa ligi kuu
Kama mambo yakienda sawa, Dore anakwenda kuiongezea makali safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Mghana Michael Sarpong na Yacouba Sogne raia wa Burkina Faso
Β
ADVERTISE HERE