Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Rukwa tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa kesho Alhamisi, uwanja wa Nelson Mandela
Ule msemo wa kuwa Yanga ni timu ya Wananchi umeendelea kudhihiri kila kona kwani, umati wa Wananchi walijitokeza kwa wingi kuwalaki mashujaa wao
Yanga haijacheza hapo Sumbawanga kwa muda mrefu, kwa hakika Wananchi walikuwa wakisubiri ujio wao




ADVERTISE HERE