Carlinhos apewa program maalum ya mazoezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2020
Carlinhos apewa program maalum ya mazoezi

Kiungo wa Yanga Carlinhos amepewa program ya mazoezi kujiweka sawa kabla ya kurejea uwanjani mwaka 2021

Tangu atue Yanga, Carlinhos amekosa mwendelezo mzuri wa kucheza kutokana na majeraha yanayomsumbua mara kwa mara

Imeelezwa wakati anajiunga na Yanga nyota huyo hakuwa fit, kwani hakucheza soka  la ushindani katika kipindi cha miezi sita huko kwao Angola baada ya ligi ya nchi hiyo kufutwa kutokana na changamoto ya ugonjwa corona

Katika mechi alizocheza, Carlinhos amekuwa mhanga wa kufanyiwa madhambi. Walinzi wa timu pinzani wanamkamia sana na hivyo kumfanya apate majeraha mara kwa mara

Benchi la ufundi la Yanga linaloongozwa na kocha Cedric Kaze wamempa program ya mazoezi anayoendelea nayo jijini Dar es salaam wakati wenzake wakiwa mkoani Mbeya wakijiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons

Carlinhos amepewa program ya kuimarisha utimamu wa mwili akianza kwa kufanya mazoezi ya Gym

Kiungo huyo fundi anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachokwenda visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza wiki ijayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’