Michezo ya duru ya pili ligi kuu ya Vodacom inaanza kupigwa wiki hii ambapo siku ya Jumatano mchezo mmoja kati ya Simba dhidi ya Ihefu Fc utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Mechi nyingine tatu zitapigwa Alhamisi, Disemba 31 Polisi Tanzania vs Azam Fc, Tanzania Prisons vs Yanga na Coastal Union vs Namungo Fc
Mechi za raundi ya 18 zinaanza kupigwa huku vilabu vya Simba na Namungo Fc vikiwa na mechi tatu za viporo vya mzunguuko wa kwanza
Hizi hapa mechi zote za raundi ya 18;

ADVERTISE HERE