Yanga yaahidi kuwalipia kisasi 'watani' Sumbawanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Dec 2020
Yanga yaahidi kuwalipia kisasi 'watani' Sumbawanga

Wananchi wanasema wao ni waungwana sana hawako tayari kuona watani zao wanaonewa halafu wao wakakaa kimya

Baada ya kuwalipia kisasi kwa Ruvu Shooting, Yanga wameahidi kuwalipia kisasi watani zao katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Disemba 31 kule Sumbawanga

Ni mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom, mzunguuko wa pili yaani mchezo wa 18 msimu huu

"Alhamisi hii ya tarehe 31/12/2020 ni zamu ya Sumbawanga kupata burudani ya kibabe kutoka timu ya wananchi ndani ya Uwanja wa Nelson Mandela, tutacheza mchezo wetu wa kwanza wa round ya pili tutakaocheza dhidi ya wenyeji wetu TZ Prisons kuanzia saa 10:00 jioni"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’