Winga mkongwe Mrisho Ngasa ameanza makujumu yake kunako klabu ya Gwambina Fc aliyotua kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo
Ngasa aliyejijengea heshima kubwa kunako klabu ya Yanga, ametua Gwambina akitokea klabu ya Ndanda Fc ambayo alijiunga nayo baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika
Ngasa ameungana na Mwinyi Zahera, kocha wa zamani wa Yanga ambaye ni Mkurugenzi wa ufundi wa Gwambina Fc
Kila la kheri Uncle...!
ADVERTISE HERE