Injinia kufunga mwaka kwa usajili wa kibabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Dec 2020
Injinia kufunga mwaka kwa usajili wa kibabe

Bado Injinia Hersi Said hajalipua lile bomu aliloahidi kulilipua kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo

Wanayanga wanasubiri kwa hamu kumpokea mchezaji mkubwa walioahidiwa hivi karibuni

Hersi hajawahi kuwaangusha Wananchi, huyu jamaa ni Jeshi la mtu mmoja, akisema tunakwenda pale kumchukua yule, ni hivyohivyo

Tetesi zimekuwa nyingi, Wananchi wanasubiri kumuona nani atakalia lile kochi jeupe pale ofisini kwa Injinia Hersi?

Ni Idris Mbombo, Jacquise Tuyisenge au Fereboy Dore?

Inaelezwa bomu hilo litalipuliwa kabla ya mwaka 2020 kumalizika....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’