Ndivyo ilivyo kwa kikosi cha Yanga wakati huu wakiwa mkoani Mbeya wakijiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Disemba 31
Yanga imepata muda wa kutosha kujiandaa na mchezo huo baada ya mchezo wao wa kombe la Shirikisho dhidi ya Singida United kufutwa
Yanga imesonga mbele hatua inayofuata baada ya walima alizeti hao kushushwa madaraja mawili na hivyo kukosa sifa ya kushiriki michuano ya kombe la FA
Vijana wa Cedric Kaze sasa wameiva! wanacheza kandanda safi, wanafunga mabao, wanapata matokeo na zaidi wameendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi
Huu ndio wakati bora sana kuwa Mwananchi...!
ADVERTISE HERE