Tunalipa, tutaendelea kulipa madeni - Mwakalebela

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2020
Tunalipa, tutaendelea kulipa madeni - Mwakalebela

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amekiri timu hiyo kudaiwa na wanaendelea kulipa madeni hayo

Jana kuliibuka taarifa kuwa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhisi wa Michezo (CAS) imeiamuru klabu ya Yanga kumlipa dola 20,000 aliyekuwa mshambuliaji wake Amissi Tambwe ikiwa ni madai ya fedha za usajili na malimbikizo ya mishahara ya miezi mitatu

Mwakalebela amesema uongozi wao ulirithi madeni kutoka uongozi uliopita hivyo wanaendelea kuyalipa madeni hayo

"Tumerithi vitu vingi yakiwemo madeni kutoka kwa uongozi uliopita, hata hili deni ya Tambwe ni miongoni mwa madeni hayo. Tunawahakikishia Wanayanga kuwa deni hili litalipwa," alisema Mwakalebela

Aidha Mwakalebela aliongeza kuwa pia watalipia fedha walizotakiwa walipe ili kesi yao dhidi Bernard Morrison iweze kusikilizwa na CAS

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’