Baada ya mapumziko ya sikukuu ya Krismasi, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
Mchezo huo utapigwa Disemba 31 kule Sumbawanga mkoani Rukwa
Huo utakuwa mchezo wa kwanza wa duru ya pili ligi kuu ya Vodacom
Yanga imeweka kambi yake mkoani Mbeya kujiandaa na mchezo huo






ADVERTISE HERE