Balama kurejea wiki ijayo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Dec 2020
Balama kurejea wiki ijayo

Kiungo wa Yanga Mapinduzi Balama amefanyiwa upasuaji wa goti Afrika Kusini kurekebisha changamoto zilizojitokeza baada ya upasuaji wa awali

Hali ya nyota huyo inaendelea vizuri akitarajiwa kurejea nchini wiki ijayo

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amema wanatarajia Balama atapona kikamilifu baada ya matibabu hayo

"Tunashukuru hali yake inaendelea vyema, tuliwasiliana na madaktari wake, wametuhakikishia matibabu yake yalikwenda vizuri na pengine wiki ijayo anaweza kurejea nchini," alisema Mwakalebela

Balama amekuwa nje ya uwanja tangu mwezi Juni mwaka huu baada ya kuumia wakati wa maandalizi ya mechi za ligi baada ya mapumziko ya corona

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’