Wachezaji wa Yanga jana walisherehekea sikukuu ya Krismasi mkoani Songwe katika moja ya vituo vya kulelea watoto yatima
Aidha nyota hao pia walipata wasaa kwenda kuwafariji wagonjwa Hospitali ya Mbozi mkoani Songwe
Yanga imeweka kambi Mbeya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa Disemba 31
Hii ndio maana halisi ya timu ya Wananchi


ADVERTISE HERE