Baada ya mchezo wao wa kombe la FA dhidi ya Singida United kufutwa huku Yanga ikivuka kwenda raundi ya nne ya michuano hiyo baada ya Singida United kushushwa madaraja mawili, vinara hao wa ligi kuu wataendelea kubaki jijini Mbeya kujiwinda na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Disemba 31, Sumbawanga
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredric Mwakalebela amesema wameamua kuweka kambi jijini Mbeya kujiandaa na mchezo huo wa raundi ya 18
Aidha, Mwakalebela amewapongeza wachezaji wa Yanga kwa kuiwezesha klabu yao kumaliza mzunguko wa kwanza wa VPL bila kupoteza mchezo wowote.
ADVERTISE HERE