Baada ya kuwasili mkoani Mbeya jana jioni, kikosi cha Yanga hakina muda wa kupoteza kwani leo wachezaji walikuwa uwanja wa Sokoine kukamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa kesho Jumatano uwanja wa Sokoine









ADVERTISE HERE