Kikosi cha Yanga kiliwasili mkoani Mbeya jioni ya jana Jumatatu kuelekea mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano, uwanja wa Sokoine
Kama ilivyo kawaida yao, Wananchi walijitokeza kwa wingi kuwalaki mashujaa wao
ADVERTISE HERE