Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa winga hatari wa Yanga Tuisila Kisinda 'TK Master'
Wananchi wanafurahia uwepo wake kikosini kwani kwa hakika amerejesha makali ya Yanga katika ushambuliaji kupitia pembeni
Miezi yake minne katika kikosi cha Yanga imetosha kudhihirisha thamani yake, amefunga mabao mawili huku akitoa pasi tatu za mabao ndani ya ligi kuu ya Vodacom
Leo ni siku muhimu kwake, akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Happy Birthday Tuisila Kisinda..!
ADVERTISE HERE