Vinara wa ligi kuu ya Wanawake, Yanga Princess wako mkoani Kigoma ambapo jioni ya leo watashuka dimba la Lake Tanganyika kuikabili Kigoma Sisters
Wababe hao wa ligi kuu ya Wanawake, kama ilivyo kwa kaka zao, bado hawajapoteza mchezo na zaidi hawajaruhusu bao katika michezo mitano ambayo wamecheza mpaka sasa
Wakinadada wa Yanga Princess wana msako wao wa ubingwa, wanaongoza ligi wakiwa na alama 13, wameshinda michezo minne, sare moja na wameweka kambani mabao 16
ADVERTISE HERE