Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia wadhamini GSM wamemuongezea mkataba kiung fundi Haruna Niyonzima 'Baba Mzazi'
Kulikuwa na tetesi nyingi kumuhusu Niyonzima hasa wakati huu wa usajili wa dirisha dogo

Lakini sasa ni rasmi, Niyonzima ataendelea kubaki na Wananchi baada ya kusaini mkataba mpya
Niyonzima alirejea Yanga dirisha dogo la usajili mwaka jana, awali akisaini mkataba wa mwaka mmoja ambao ulikuwa unamalizika mwishoni mwa mwezi huu
ADVERTISE HERE