Mkongwe Kelvin Yondani bado yupo mtaani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2020
Mkongwe Kelvin Yondani bado yupo mtaani

Baada ya dili la kutua Namungo Fc kukwama, nahodha wa zamani wa Yanga mkongwe Kelvin Yondani bado hajapata timu

Yondani aliyecheza kwa heshima kubwa Yanga, bado hajaamua kutundika daruga kwani anaamini uwezo anao

Katika kipindi hiki cha dirisha dogo, Yondani anahusishwa kuwaniwa na klabu ya Coastal Union ya jijini Tanga

Lakini pia, yapo mapendekezo ya 'Cotton' kurejeshwa kundini japo kwa mkataba wa muda mfupi

Baadhi ya wadau wanatamani kumuona Yondani akistaafu kwa heshima akiwa na klabu ya Yanga kama ilivyokuwa kwa Nadir Haroub ambaye aliitumikia Yanga kwa miaka 13

Yondani na Juma Abdul waligomea ofa waliyopewa na Yanga dirisha la usajili lililopita, Abdul akitimkia klabu ya Indeni inayopanda daraja ligi kuu ya Zambia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’