Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili leo Disemba 16 na litafungwa mwakani Januari 15
Wachezaji wanaosajiliwa katika kipindi hiki ambao hawatakuwa na pingamizi, watapewa leseni kuanza kuvitumikia vilabu vyao vipya mara moja
Hii ina maana mshambuliaji Saido Ntibazonkiza atapatiwa leseni mapema na hivyo upo uwezekano kumshuhudia dimbani kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji Jumamosi

ADVERTISE HERE