Nawataarifu tu, Sadio Ntibazonkiza amecheza ligi moja akina Kylian Mbappe, Neymar na kina Di Maria kama anavyoonekana hapo juu
Ndio! ni yeye aliyekuwepo pale uwanja wa Liti (zamani Namfua) akifunga mabao mawili katika mchezo wake wa kwanza kabisa kuvaa uzi wa Yanga na kuwasaidia mabingwa hao wa kihistoria kushinda mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki

Ni yeye anacheza na mafundi pale Yanga kina Mukoko, Kisinda, Feisal, Niyonzima, Sarpong, Yacouba, Kaseke, Farid na wengine kibao!
Mwakani kwenye mchezo wa marudiano pale kwa Mkapa bila shaka takuwepo, tuombe uzima
Da! cjui itakuwaje siku hiyo..!
ADVERTISE HERE