Katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United leo, Yanga imetambulisha uzi mwingine wa tatu ambao wachezaji waliutumia kwenye mchezo huo ambao wananchi waliondoka na ushindi wa mabao 3-0
Vipi uzi huu unauoa alama ngapi? Tayari unapatikana duka la Yanga pale Makao Makuu pamoja na Maduka yote ya GSM Dar es salaam na mikoani

ADVERTISE HERE