Wakazi wa mkoa wa Singida na maeneo ya jirani jioni ya leo watakuwa na nafasi ya kumshuhudia nyota mpya wa Yanga Saido Ntibazonkiza wakati kikosi chake kitakaposhuka uwanja wa Liti kumenyana na Singida United katika mchezo wa kirafiki
Lakini kupitia Azam TV, Wanayanga kote nchini watamshuhudia nyota huyo akianza maisha yake ndani ya kikosi cha mabingwa wa kihistoria, mechi hiyo ikionyeshwa mbashara na Azam TV
Ni saa kumi kamili jioni ya leo Jumanne, Disemba 15, 2020
ADVERTISE HERE