Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Yanga wako mkoani Singida ambapo kesho Jumanne watacheza mchezo wa kupimana nguvu dhidi ya wenyeji wao Singida United
Yanga imekamilisha maandalizi yake ya mwisho jioni ya leo katika uwanja wa Malkia Liti




ADVERTISE HERE