Yanga kujipima dhidi ya Singida United Jumanne

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Dec 2020
Yanga kujipima dhidi ya Singida United Jumanne

Kikosi cha Yanga kimeweka kambi ya maandalizi ya mchezo wake dhidi ya Dodoma Jiji pale mkoani Singida ambapo kesho Jumanne watashuka dimba la Liti kujipima na Singida United

Wakazi wa mkoa wa Singida na maeneo ya jirani wamepewa nafasi ya upendeleo kuwa wa kwanza kumshuhudia Saido Ntibazonkiza akiwatumikia Wananchi kwa mara ya kwanza

Viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa kumi Alasiri Mzunguuko ni Tsh 3,000/- wakati VIP ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’