Mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata ameendelea kuweka rekodi msimu huu akililinda vyema lango la timu ya Wananchi
Akiwa amecheza michezo 14, Metacha ameruhusu mabao manne tu
Aidha, katika mechi hizo, Metacha hajaruhusu bao lolote katika michezo 10
Kwa lugha rahisi, Metacha ana 'cleansheet' 10 kutoka michezo 14 aliyokaa langoni
Pamoja na kuisifu safu ya ulinzi kufanya kazi yake vyema, Metacha pia amekuwa sababu ya lango la Yanga kuwa salama
Itoshe kusema kwa sasa Metacha ndiye mlinda lango bora nchini
ADVERTISE HERE