Jana ilikuwa siku ya furaha sana kwa mashabiki wa Yanga mkoani Shinyanga na maeneo jirani baada ya kuishuhudia timu yao ikiibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui Fc katika mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kambarage
Huo ulikuwa ushindi mkubwa zaidi waliopata Yanga kwenye ligi msimu huu. Ni zawadi mahsusi kwa mashabiki waiojitokeza kwa wingi kuiunga mkono Yanga



Shamrashamra hizi Wanayanga walizikosa kwa takribani misimu mitatu, Kwa hakika zama za shangwe na furaha zimerejea kwa Wananchi
ADVERTISE HERE