Jumamosi hii Dabi ya kina dada Simba Queens vs Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2020
Jumamosi hii Dabi ya kina dada Simba Queens vs Yanga Princess

Wakati vinara wa ligi kuu ya Vodacom Yanga wakiwa mkoani Shinyanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc kesho Jumamosi, katika muda mmoja, dada zao Yanga Princess watakuwa pale Bunju uwanja wa Mo Simba Arena kupepetana na watani zao Simba Queens

Baada ya mateso ya misimu miwili, huu ni msimu mwingine tofauti kabisa kwa Yanga Princess, kinadada wamekomaa wakiapa kumaliza unyonge mbele ya watani zao Simba Queens

Yanga Princess imeanza msimu kibabe ikiongoza ligi kuu ya Wanawake baada ya kushinda mechi zote tatu wakifunga mabao 11

Kinadada Wananchi wamejipanga kuandika historia kwa kutwaa taji la ligi ya Wanawake kwa mara ya kwanza

Mchezo dhidi ya Simba Queens utakuwa kipimo sahihi kwao katika kutimiza mpango huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’