Majeraha yamweka nje Carlinhos

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2020
Majeraha yamweka nje Carlinhos

Wanayanga wamekosa furaha endelevu kutoka kwa kiungo wao fundi Carlinhos ambaye majeraha yamekuwa yalimuandama

Mpaka sasa nyota huyo aliyetua Yanga mwezi August akitokea nchini Angola, amekosa mechi tatu mfululizo

Daktari wa Yanga Dk Shecky Mngazija amesema Carlinhos anasumbuliwa na majeraha ya nyonga, bado yuko chini ya uangalizi wa Madaktari

Carlinhos amekosa jumla ya mechi nane kutokana na majeraha na huenda akakosekana katika mechi zilizobaki kukamilisha mzunguuko wa kwanza

Mchezo wa mwisho kuonekana dimbani ilikuwa dhidi ya Namungo Fc akifunga bao pekee la Yanga katika mchezo huo uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Amefunga mabao mawili na kutoa pasi mbili za mabao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
25m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’