Faini nyingine kwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Dec 2020
Faini nyingine kwa Yanga

Kupitia taarifa iliyotolewa mapema leo na Kamati ya Uendeshaji wa usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu, imetoa adhabu kutokana na matukio mbalimbali yaliyotokea katika mechi zilizopita

Klabu ya Yanga imekumbana na jumla ya faini ya Tsh Milioni Moja kutokana na makosa yaliyojitokeza katika mchezo dhidi ya Azam Fc

Yanga imetozwa faini ya Tsh Laki Tano kutokana na makosa ya mashabiki wake kurusha chupa za maji kwa mwamuzi msaidizi namba mbili

Vinara hao wa igi pia wametozwa faini ya Tsh Laki Tano kwa kosa la mashabiki wake kuingia kwenye eneo la kuchezea baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc kumalizika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’