Vinara wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' Yanga Princess, leo wanaendelea na kampeni ya kuwania taji msimu huu wakisafiri kule mkoani Pwani kuikabili Mlandizi Queens
Yanga Princess imeanza msimu kibabe, ikikaa kileleni baada ya kushinda mechi mbili za mwanzo kwa ushindi mnono
Princess wamefunga jumla ya mabao tisa katika mechi hizo bila ya kuruhusu wavu wao kutikiswa!
Wenyewe wanasema msimu huu ni mwendo wa kugawa dozi nene tu mpaka kieleweke...!
ADVERTISE HERE