Wanaowania tuzo ya nyota wa mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ni Tuisila Kisinda, Yacouba Sogne na Michael Sarpong
Kila mmoja alikuwa na mchango mkubwa kwenye mchezo huo ambao Yanga ilishinda mabao 2-1 hapo jana
Kisinda na Sarpong walihusika moja kwa moja katika mabao hayo, Sarpong akifunga bao la kwanza wakati krosi hatari ya Kisinda ilijazwa kambani na mlinzi wa Ruvu Shootinga Cassian Ponera
Kura zinahesabiwa kupitia ukurasa wa Yanga wa mtandao wa Twitter 'yangasc1935'
ADVERTISE HERE