Kituo kinachofuata Mwadui Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Dec 2020
Kituo kinachofuata Mwadui Fc

Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting hapo jana, vinara wa ligi kuu Yanga wanaendelea na maandalizi kuelekea mchezo unaofuata ambao ni dhidi ya Mwadui Fc

Mchezo huo utapigwa Disemba 12 kwenye uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewataka mashabiki mkoani Shinyanga wakae tayari kuipokea na kuiunga mkono timu yao kwenye mchezo huo

Yanga inatarajiwa kutua Shinyanga Alhamisi, Disemba 10 tayari kwa mchezo huo

Aidha Yanga huenda ikaupeleka mkoani Arusha mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa Disemba 19

Bumbuli amesema timu zote zinazoshiriki ligi kuu zina nafasi ya kucheza mchezo mmoja nje ya uwanja wao rasmi ili kuwapa burudani wakazi wa maeneo mengine

Kwa kuwa Arusha haina timu inayoshiriki ligi kuu, uongozi wa Yanga huenda ukawapelekea burudani hiyo uwanja wa Sheikh Amri Abeid

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’