Katika kuhakikisha elimu inatolewa kwa kila Mwanayanga kuelekea mchakato wa kubadili mfumo wa uendeshaji, mapema leo viongozi wa Kamati ya Utendaji ya Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla walishiriki katika Semina ya kuwajengea ufahamu juu ya ripoti ya mabadiliko
Semina hiyo ilisimamiwa na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said ambaye kampuni yake inasimamia mchakato wa Mabadiliko wa asilimia 100
Elimu itaendelea kutolewa kwa wadau wote ili kuhakikisha kila Mwanayanga anakuwa na ufahamu wa mfumo huo mpya kabla ya Wanachama wa Yanga kupitisha Mapendekezo hayo yaliyotolewa na La Liga

ADVERTISE HERE