Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa Jumapili, uwanja wa Benjamin Mkapa
Saido Ntibazonkiza, nahodha Lamine Moro aliyemaliza adhabu ya kutumikia kadi tatu za njano, Baba Mzazi Haruna Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji walioshiriki mazoezi hayo




ADVERTISE HERE