Kiungo wa Yanga Mapinduzi Balama ameondoka nchini leo kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu
Nyota huyo aliyekaa nje kwa miezi sita sasa, anakwenda kufanyiwa matibabu zaidi ya majeraha aliyopata mwishoni mwa msimu uliopita
Kila la kheri, fundi Mapinduzi Balama 'Kipenseli'
ADVERTISE HERE