Kiungo mshambuliaji Saido Ntibazonkiza jioni ya leo ameanza rasmi kujifua na kikosi cha Yanga yakiwa maandalizi kuelekea mechi za ligi kuu ya Vodacom
Ntibazonkiza alionekana kuwa mchezaji mwenye furaha, muda wote wa mazoezi
Nyota huyo wa Kimataifa kutoka Burundi ataanza kuitumikia Yanga baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Disemba 15



ADVERTISE HERE