Wakandarasi walioomba Tenda ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi na hostel za klabu ya Yanga Kigamboni, leo wamepata fursa ya kutembelea eneo la mradi
Baada ya kukamilisha mchakato wa kupokea maombi kutoka kwa wazabuni, mradi huo utaanza karibuni
Kinachosubiriwa ni Yanga kumtangaza Mzabuni aliyeshinda tayari kuanza kazi
ADVERTISE HERE