Uongozi wa klabu ya Yanga umeanza ukarabati wa Jengo la Makao Makuu la klabu hiyo lililoko Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa anasimamia zoezi hilo katika kuhakikisha Jengo linakwenda sambamba na hadhi ya klabu ya Yanga
Ghorofa la Yanga pale Jangwani ni moja ya nembo muhimu ya klabu, hivyo ni jambo jema kwa viongozi kuona umuhimu wa kufanya mabboresho ikiwemo kupiga upya rangi pamoja na maboresho megine ya ndani
ADVERTISE HERE