Kamati ya utendaji kumsulubu Ngoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Dec 2017
Kamati ya utendaji kumsulubu Ngoma
Baada ya kuwasilisha utetezi wake kwa kamati ya utendaji ya Yanga, mshambuliaji Donald Ngoma amezuiwa kujihusisha na jambo lolote linalohusiana na Yanga ikiwemo kufanya mazoezi hadi pale maamuzi yatakapofikiwa

Ngoma amekuwa nje kwa zaidi ya miezi miwili na alisafiri kurejea kwao nchini Zimbabwe bila kuomba ruhusa.

Katika utetezi wake alioutoa Ngoma amewasilisha ripoti ya daktari kuthibitisha kwamba alikwenda Zimbabwe kutibiwa majeraha yake ya goti.

Aidha katika ripoti hiyo iliyotiliwa shaka na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa, inautaka uongozi wa Yanga umpe Ngoma mapumziko ya wiki sita kabla haijaanza kumtumia.

Kamati ya utendaji inatarajiwa kuhitimisha mjadala kuhusu mchezaji huyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
46m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’