Ntibazonkiza kupata mapokezi ya kibabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2020
Ntibazonkiza kupata mapokezi ya kibabe

Jezi takribani 500 zimeandaliwa kunogesha mapokezi ya kiungo mshambuliaji Said Ntibazonkiza ambaye atawasili nchini wakati wowote

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema jezi hizo orijino zitakuwa na jina la Nibazonkiza na zitauzwa kwa Tsh 35,000/-

Nugaz amesema watatoa taarifa kwa Wananchi ni lini nyota huyo atatua na utaratibu wa mapokezi yake

Msimu huu Yanga imeweka utaratibu wa kipekee kwa mapokezi ya nyota wake wa kigeni wanaotua kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria

Carlinhos, Mukoko na Tuisila Kisinda mapokezi yao yalivunja rekodi, mamia ya Wananchi wakijitokeza uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JUlius Nyerere kuwalaki

Hata hivyo nyota hao walitua wakati Yanga ikiwa bado haijatambulisha jezi zake kwa ajili ya msimu huu na hivyo kukosa fursa ya mauzo ya jezi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’