Kiungo mshambuliaji wa Yanga Farid Mussa leo kabla ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania, alikabidhiwa tuzo baada ya kuibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi Oktoba 2020
Farid alishinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Yanga
Amejinyakulia kitita cha Tsh Milioni Moja kutoka kwa Anta Sports, moja ya maduka ya vifaa vya michezo yanayomilikiwa na GSM
Ni tuzo ya pili kutolewa, tuzo ya kwanza mwezi Septemba ikichukuliwa na Mukoko Tomombe
ADVERTISE HERE