Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' unaanza leo ambao Yanga Princess itakuwa uwanjani kuikabili Tanzanite Queens katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru
Huu ni msimu wa tatu kwa Yanga Princess kushiriki ligi kuu ya Wanawake
Misimu miwili ilikuwa kwa ajili ya kujifunza lakini msimu huu Yanga Princess imedhamiria kuwania ubingwa
Usajili makini ulifanywa na uongozi wa Yanga kuhakikisha msimu huu Yanga Princess inakuwa na kikosi chenye ushindani
Mtihani wao wa kwanza ni leo saa nane mchana pale uwanja wa Uhuru
ADVERTISE HERE