Yanga imeweka hadharani viingilio vya mchezo wake dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamini Mkapa
Mtanange huo utapigwa mapema tu, saa kumi jioni. Mashabiki wameaswa kujitokeza kwa wingi

ADVERTISE HERE