Zawadi Mauya ni kiungo mahiri aliyesajiliwa na Yanga usajili uliopita akitokea klabu ya Kagera Sugar
Ni mmoja wa wachezaji watatu wanaounda safu imara ya kiungo cha ukabaji, akishirikiana na Mukoko Tomombe na Feisal Salum 'Fei Toto'
Leo ni kumbukumbu ya tarehe aliyozaliwa. Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu
Happy Birthday Zawadi Mauya..!
ADVERTISE HERE