Rais TFF atoa ufafanuzi Mabilioni ya Ahmad

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Nov 2020
Rais TFF atoa ufafanuzi Mabilioni ya Ahmad

Jana Shirikisho la Soka duniani (FIFA) lilitangaza kumfungia kwa miaka mitano Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad akituhumiwa na matumizi mabaya ya Ofisi

Baadhi ya tuhuma ni pamoja na kuwalipia fedha Marais wa Mashirikisho ya Soka Afrika katika mambo yao binafsi FIFA ikithibitisha aliwalipia gharama za kwenda kuhiji Makka Maraisi 15

Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Wallace Karia ametoa ufafanuzi kuhusu dola 100,000 ambazo alipokea kutoka CAF

Aidha TFF imetahadharisha wale wanaoendeza taarifa za upotoshaji kuwa wanaweza kuchukuliwa hatua za kisheria

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’